Agathon Rwasa adai kuongoza matokeo ya uchaguzi Burundi | Matukio ya Afrika | DW | 21.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Agathon Rwasa adai kuongoza matokeo ya uchaguzi Burundi

Mpinzani mkuu katika kinyang’anyiro cha urais nchini Burundi, Agaton Rwasa amelalamikia kufanyika udangayifu mkubwa ikiwa ni siku moja baada ya zoezi la kupiga kura. Mgombea huyo wa chama cha CNL pamoja na mambo mengine anadai wasimamizi wa chama chake walifukuzwa kwenye vituo vya kupigia kura. Msikilize Rwasa katika mahojiano na Sudi Mnette.

Sikiliza sauti 02:37