1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Ongezeko la virusi vya HIV miongoni mwa wanawake

Wakio Mbogho22 Desemba 2022

Baraza la kitaifa la kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI nchini Kenya limetangaza kwamba kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya virusi vya HIV, maambukizi mapya 34,540 yakiripotiwa mwaka 2021. Kati ya maambukizi hayo mapya, wanawake na wasichana ndio walioathirika zaidi kwa asilimia 66.7, wanaume wakirekodi asilimia 33.3 ya maambukizi mapya. Mtayarishaji ni Wakio Mbogho.

https://p.dw.com/p/4LK0H