Afya Yako - Madhara ya kutumia dawa bila ushauri wa daktari | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Afya Yako - Madhara ya kutumia dawa bila ushauri wa daktari

Je, wafahamu nini kinaweza kukupata endapo ukinywa dawa za kutuliza maumivu au kuleta usingizi bila ya kupata ushauri wa daktari? Ambatana na daktari akielezea madhara endapo utakuwa na mazoea ya kutumia dawa bila ushauri wa wataalamu wa Afya

Tazama vidio 02:47