1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Janga

Afya ya uzazi kwa wanawake wa Kenya na Tanzania

Shisia Wasilwa26 Februari 2020

Ungana naye Shisia Wasilwa akijadiliana na vijana juu ya Afya ya uzazi kwa wanawake wa Kenya na Tanzania. Kama tunavyofahamu wanawake wengi wamekuwa wakipoteza maisha wakati wa kujifungua na wakati mwingine pia kuyaweka hatarini maisha ya mtoto. Makala ni Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/3YS52