Afrika yatakiwa kuunda jeshi lake
10 Julai 2014Matangazo
Wito huo ambao umetolewa na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bwana Bernard Membe aliyekuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali unafuatia kuongezeka kwa machafuko katika bara hilo huku kukiwa hakuna juhudi mahsusi za kutanzua hali hiyo. George Njogopa na ripoti zaidi.
Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Saumu Yusuf