Afrika yajipaka kijani | Mada zote | DW | 02.07.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Afrika yajipaka kijani

Kama umeshakutana na rangi ya kijani barani Afrika, basi zinapatikana kila mahala. Iwe Afrika Kusini, visiwani Zanzibar nchini Tanzania, nchini Angola au katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.