1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

22 Oktoba 2021

Rais Uhuru Kenyatta aondoa marufuku ya kutembea usiku iliyodumu Kenya kwa takribani miaka miwili//Ethiopia yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya mkoa wa Tigray//Wanajeshi wa Rwanda wavuka mpaka na kuvamia vijiji kadhaa ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya na Nigeria yaadhimisha mwaka mmoja tangu maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi. Haya na mengine ni katika Afrika wiki hii.

https://p.dw.com/p/424d1