Afrika Mashariki yapambana na joto kali | Masuala ya Jamii | DW | 23.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Afrika Mashariki yapambana na joto kali

Jua kali limewaghadhabisha wakazi wengi wa nchi za Afrika Mashariki. Daktari Abdallah Waititu anaeleza nini cha kufanya kulinda ngozi na athari za jua la moja kwa moja kwa mwili wa binadamu.

Sikiliza sauti 03:02

Dr. Abdallah Waititu katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com