1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika Magazeti ya Ujerumani

Zainab Aziz3 Aprili 2020

Miongoni mwa mada za Afrika zilizoangaziwa katika magazeti ya Ujerumani wiki hii ni pamoja na hali inayowakabili Wazimbabwe katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona. Zainab Aziz anagusia baadhi ya mada hizo.

https://p.dw.com/p/3aPng