Adha wanazopata wagonjwa wa Fistula | Masuala ya Jamii | DW | 06.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Adha wanazopata wagonjwa wa Fistula

Wanawake wanaougua Fistula hushindwa kuzuia mkojo au kinyesi, hali inayowafanya wasijisikie huru kukaa kwenye umati wa watu. Katika "Afya Yako" utasikia visa vya waliopata ugonjwa huo na tiba yake.

Sikiliza sauti 09:44
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Makala ya Afya yako na Hawa Bihoga

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com