Accra yetu | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 27.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Accra yetu

Tunakwenda mji wa Accra leo, Mji Mkuu wa Ghana. Unaweza kufikiri mji huo wenye joto si mji wa mazoezi au michezo lakini Bernice Asiedu analifanyia kazi suala hilo. Anatumia sehemu zilizotelekezwa katika mji huo kutoa mafunzo ya michezo.

Tazama vidio 02:23
Sasa moja kwa moja
dakika (0)