ABIRIA 11 WAFARIKI24.03.200724 Machi 2007https://p.dw.com/p/CCFvMatangazoMOGADISHU: Abiria wote katika ndege ya kupakia shehena iliotunguliwa jana katika anga la Mogadishu,Somalia, wameuwawa-hii ni kwa muujibu wa chama cha mwezi-mwekundu.Abiria 10 walifariki papo hapo wakati mmoja aliaga dunia hospitali.