AbdulRazak Gurna mzaliwa wa Zanzibar atunukiwa tuzo ya Nobel ya Fasihi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

AbdulRazak Gurna mzaliwa wa Zanzibar atunukiwa tuzo ya Nobel ya Fasihi

Mwanafasihi mzaliwa wa Zanzibar anayeishi Uingereza AbdulRazak Gurna atunukiwa tuzo ya Nobel ya fasihi ya mwaka 2021,Rais Uhuru Kenyatta na wanafamilia yake watajwa kwenye sakata ya kumiliki akaunti za siri Panama-katika kile kinachoitwa nyaraka za Pandora na rais Samia Suluhu aagizwa kodi ya nishati ya mafuta ipunguzwe.Sikiliza Afrika Wiki hii na Saumu Mwasimba

Sikiliza sauti 20:03