1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Abd al-Aziz Bouteflika

Abd al-Aziz Bouteflika ni mwanasiasa wa Algeria ambaye amekuwa rais wa taifa hilo tangu mwaka 1999. Februari 2019 alitangaza azma ya kuwania muhula wa tano, hatua iliyozusha maandamano makubwa ya kumlaazimisha kujitoa.