1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.05.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Mei 2021

Kenya na Burundi zakubaliana kuimarisha sekta mbali mbali za kiuchumi na ushirikiano wa kimkakati baina yao+++Somaliland yafanya uchaguzi wa kwanza tangu 2005+++Afrika Kusini yarejesha vizuizi vikali vya Covid-19+++FE iliisaidia NSA kuwapeleleza wanasiasa nchini Sweden, Norway, Uholanzi, Ufaransa na Ujerumani+++ Wanawake wengi Tanzania watumia tumbaku.

https://p.dw.com/p/3uEro