31.03.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 31.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

31.03.2020 Matangazo ya Jioni

Visa vya ugonjwa wa Corona vinaendelea kuongezeka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo// Bunge la bajeti nchini Tanzania limeanza leo// Vita dhidi ya COVID 19 vimepata msukumo mpya nchini Kenya baada ya Baraza la senate kutenga shilingi milioni 200 za bajeti yake ili kupambana na athari za homa hiyo.

Sikiliza sauti 59:59