1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.10.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Oktoba 2020

Chama cha mapinduzi nchini Tanznaia kimeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya uchaguzi wa urais na ubunge huku tume ya taifa ya uchaguzi ikikaribia kufikia hatua ya mwisho mwisho katika kutangaza matokeo ya urais// Mgombea wa nafasi ya urasi wa Zanzibar, ambae pia ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kuachiliwa kwake.

https://p.dw.com/p/3kfLL