1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.06.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S30 Juni 2020

Tshisekedi apinga mageuzi ya kimahakama Congo// Merkel na Macron, wahimiza mpango madhubuti kuokoa uchumi// Wakazi wa Afrika Mashariki wamegawanyika baada ya mataifa ya Umoja wa Ulaya kuweka bayana orodha ya watakaoweza kuingia ndani ya mipaka yao// Kenya- Baraza la wazee wa jamii ya Gabra na Borana zimeafiki kusaidia katika kusitisha vita vya kikabila vinavyoendelea kushuhudiwa kwenye eneo hilo.

https://p.dw.com/p/3eZmA