1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.01.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Aprili 2020

Ujerumani yarefusha agizo la watu kutokaribiana// Umoja wa mataifa umeonya kuhusu hali ya nchini Syria kwamba inaweza kuwa ni janga zaidi la kibinadamu kufuatia mripuko wa ugonjwa wa Corona/ Mashirika ya kiraia nchini Tanzania yanataka gharama za internet na simu zishushwe wakati huu wa janga la corona/ Umoja wa Falme za kiarabu hauchukui hatua za kutosha kukabiliana na utakatishaji fedha.

https://p.dw.com/p/3bche