1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.10.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Oktoba 2020

Tume ya uchaguzi Tanzania imeanza kutoa matokeo ya uchaguzi wa wabunge, ambayo yanaonyesha chama kikuu cha upinzani, CHADEMA kimepoteza viti muhimu, vilivyozolewa na chama tawala, CCM// Zanzibar- Kisiwani Pemba nako matokeo ya uchaguzi mkuu yanayubiriwa kwa hamu, eneo hilo lilishuhudia vurugu siku chache kabla ya zoezi la upigaji kura na linafahamika kuwa moja ya eneo tete kabisa katika uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3kaqe