1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.10.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Oktoba 2020

Mgombea wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema Tundu Lissu, amedai kuwa uchaguzi, ulikumbwa na kasoro, huku baadhi ya waangalizi wakisema nchi hiyo inakabiliwa na miaka mitano mingine ya utawala wa kimabavu// Tanzania: Maendeleo ya zoezi la kuhesabu kura huko kanda ya Kaskazini ambayo inajumuisha mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ambayo ni ngome ya upinzani ya chama cha Chadema.

https://p.dw.com/p/3kaA0