1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.07.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S29 Julai 2020

Ibada ya dini ya kiislamu ya Hijja inaanza leo chini kiwingu cha viruis vya corona. Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa aliyeaga dunia wiki iliyopita atazikwa leo. Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Yemen ameonya mazungumzo ya amani yanaweza kuvunjika

https://p.dw.com/p/3g5Z5