1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S30 Juni 2021

Rwanda & Covid-19: Serikali imezifunga shule na maeneo ya ibada pamoja na sehemu nyingine zinazowakutanisha watu wengi /TDF watwaa udhibiti wa Tigray, Ethiopia yakiri vifo vingi/ Serikali ya Eswatini yaweka vizuizi baada ya maandamano makubwa/ Ujerumani imeliondoa jeshi lake la mwisho Afghanistan/ EURO 2020: Ujerumani imebanduliwa baada ya kufungwa magoli 2-0 na England > Mahojiano

https://p.dw.com/p/3voyA