1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.04.2018: Matangazo ya Mchana

Lilian Mtono
29 Aprili 2018

Korea Kaskazini imeapa kulifunga eneo lililotumika kwa majaribio ya silaha za nyuklia la Punggye-ri ifikapo mwezi ujao, Ujumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wawasili katika kambi inayowahifadhi maelfu ya wakimbizi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya na waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo yuko nchini Saudia Arabia.

https://p.dw.com/p/2wrmO