Jeshi la Sudan lakabiliwa na upinzani mkubwa/ Afrika Kusini kusambaza askari 10,000 kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa/ Serikali ya Kenya imesema itakuwa imeiondoa miraa kwenye orodha ya dawa za kulevya/ Mzozo wa matumizi ya bahari kwa wavuvi wa Uingereza na Ufaransa umechukuwa sura mpya/ Bachelet ametolea wito hatua madhubuti juu ya mabadiliko ya tabia nchi