Idadi ya wanafunzi wanaoripoti shuleni katika jimbo la Marsabit nchini Kenya inaendelea kupungua+++Burkina Faso inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa wakimbizi ambapo zaidi ya watu milioni moja wanaikimbia nchi hiyo kutokana na vitendo vya ugaidi na ghasia+++Usalama umeimarishwa mjini Rome Italia kuelekea mkutano wa kilele wa siku mbili wa viongozi wa nchi wanachama wa kundi la G20 wikendi hii.