1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Julai 2020

Tanzania: Mwili wa Mkapa umekwisha wasili katika kijiji alichozaliwa cha Lupaso/ Mjadala mkubwa ni fursa huru ya kukusanyika kwa amani kwa upande wa upinzani/ Kenya: Mswada wa ugavi wa rasilmali kwa serikali za kaunti unaendelea kuzua mitazamo tofauti ndani ya Baraza la Senate/ Njaa inayohusiana na Covid-19 huua watoto 10,000 kwa mwezi/ Najib Razak wa Malaysia kukata rufaa hukumu ya ufisadi

https://p.dw.com/p/3g4ln