1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.05.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S28 Mei 2019

Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wanakutana Brussels leo jioni kuanzisha mjadala kuhusu nani akabidhiwe wadhifa gani// Mamia ya wasafiri katika uwanja wa ndege wa Khartoum na kituo kikuu cha mabasi katika mji huo mkuu wa Sudan wamekwama hii leo huku waandamanaji wakianza mgomo wa kitaifa wa siku mbili// Kongomano la kimataifa la vyombo vya habari linaendelea mjini Bonn.

https://p.dw.com/p/3JKd3