1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2021 Taarifa ya Habari Asubuhi

Bruce Amani
27 Oktoba 2021

Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok arejeshwa nyumbani baada ya shinikizo la kimataifa // Kampuni ya BioNTech kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo barani Afrika kuanzia mwaka ujao // Na Maseneta nchini Brazil waidhinisha mashitaka dhidi ya Rais Jair Bolsonaro

https://p.dw.com/p/42Dns