1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2020 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
27 Oktoba 2020

Baraza la Seneti Marekani lamuidhinisha Amy Barrett kuwa jaji wa Mahakama ya Juu // Mvutano kati ya Umoja wa Ulaya na Uturuki waongezeka kuhusu matusi ya Rais wa Uturuki kuelekea kwa rais wa Ufaransa // Na Azerbaijan na Armenia zatuhumiana kwa kukiuka mpango wa usitishwaji mapigano katika jimbo la Nagorno-Karabakh

https://p.dw.com/p/3kTVr