1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Oktoba 2020

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad ameachiwa huru, baada ya kushikiliwa kwa masaa kadhaa mjini Unguja// Leo visiwani Zanzibar limefanyika zoezi la kupiga kura ya mapema ambapo watu maalum walishiriki katika zoezi hilo la kupiga kura siku moja kabla ya kesho tarehe 28.

https://p.dw.com/p/3kVaA