1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.08.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S27 Agosti 2020

Mshambuliaji aliyewauwa waumini 51 nchini New Zealand amekumiwa kifungo cha maisha jela. Ugiriki imesema iko tayari kupunguza mvutano kuhusu eneo la bahari pindi Uturuki itaacha uchokozi. Upinzani nchini Mali umesema uko tayari kufanya kazi na wanajeshi waliongoza mapinduzi

https://p.dw.com/p/3hYsi