1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.08.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Agosti 2020

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na wakuu wa majimbo 16 ya Ujerumani wamekubaliana kuongeza marufuku ya matukio makubwa ya umma hadi mwishoni mwa mwaka// Ujerumani- Hatua zisio za uhakika za kujikinga na virusi vya corona lazima zimalizike sasa// Kundi la kwanza la wakimbizi wa Burundi waliokuwa wamepewa hifadhi katika kambi ya mahama nchini Rwanda wanarudi nyumbani nchini Burundi hii leo.

https://p.dw.com/p/3hbAy