1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.07.2021 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S27 Julai 2021

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe jana alifikishwa katika mahakama ya mkazi kisutu nchini Tanzania na kusomewa mashtaka// Kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga amelegeza msimamo kuhusu ugavi wa fedha za vyama vya kisiasa na wenzake walioko katika muungano wa NASA//Chama kikubwa nchini Tunisia cha Ennahda kimeitisha mazungumzo ya kisiasa yatakayoitoa nchi hiyo katika mgogoro

https://p.dw.com/p/3y8zC