1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.07.2021 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S27 Julai 2021

China imesema mpango wa Umoja wa Ulaya kuanzisha kodi ya kwanza ya dunia ya viwango vya gesi ya kaboni kutatanua masuala ya mazingira na kuyageuza kuwa ya kibiashara// Balozi wa hiari wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maendeleo ya kilimo amesema wakulima wadogowadogo wanaweza kutoa mchango mkubwa katika upatikanaji endelevu wa chakula duniani

https://p.dw.com/p/3y74W