1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Mei 2021

Ufaransa na Rwanda bila shaka zinatarajia kufungua ukurasa mpya baada ya robo karne ya mivutano baina ya nchi hizo+++Upinzani nchini Angola umeungana kwa lengo la kuikabili serikali na kuleta mageuzi nchini+++Wapalestina wanatafuta majibu kuhusu mashambulizi ya Gaza.

https://p.dw.com/p/3u11p