1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Aprili 2021

Tanzania imesema inaheshimu na itaendelea kushirikiana na vyombo vya habari/ Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya, kiti cha Mkuu kitakaliwa na mwanamke/ UNHCR:Filippo Grandi awasili mkoani kirundo kaskazini mwa Burundi/ Kemikali hatarishi ya Zebaki za hatarisha afya ya wachimbaji wadogo wa madini /Julian Nagelsmann akuwa kocha wa Bayern Munich

https://p.dw.com/p/3seWw