1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Oktoba 2021

Jeshi la Sudan: Tulimkamata waziri mkuu kwa usalama wake/ Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuimarisha ushirikiano kuzikabili changamoto mbalimbali/ Bukavu: Maandamano makubwa, lengo likiwa kushinikiza serikali itimize ahadi yake ya kuboresha mishahara ya walimu/ Mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya Kusini Mashariki mwa Asia, ASEAN umeanza bila ya uwakilishi wa Myanmar

https://p.dw.com/p/42DCa