1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.01.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Januari 2021

Uholanzi imekumbwa na ghasia kwa siku ya pili sasa huku waandamanaji wakiwa wanapinga hatua za karantini wakati idadi ya watu wanaoambukizwa virusi ulimwengu ikikaribia kufikia milioni 100// Jamhuri ya Afrika ya Kati yasema imewauwa waasi 44 // Wanafunzi Kenya wachoma shule kabla ya mitihani ya taifa// Marekani yasimamisha vikwazo dhidi ya waasi wa Yemen kuimarisha msaada.

https://p.dw.com/p/3oQRa