25.09.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

25.09.2019 Matangazo ya Mchana

Hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa yaendelea kukutana New York/ Spika Pelosi kumfungulia uchunguzi Trump/ Mwanasiasa wa upinzani Rwanda auawa/ Wafanyibiashara katika soko kubwa eneo la Magharibi nchini la Kenya - Kibuye lililopo mjini Kisumu, wanakadiria hasara kubwa ya mali yao iliyoteketezwa na moto

Sikiliza sauti 60:00