Hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa yaendelea kukutana New York/ Spika Pelosi kumfungulia uchunguzi Trump/ Mwanasiasa wa upinzani Rwanda auawa/ Wafanyibiashara katika soko kubwa eneo la Magharibi nchini la Kenya - Kibuye lililopo mjini Kisumu, wanakadiria hasara kubwa ya mali yao iliyoteketezwa na moto