1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.08.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S25 Agosti 2021

Uingereza: Muda wa mwisho wa uhamishaji Afghanistan ni mwisho wa mwezi huu+++Kundi la kwanza la wakimbizi wa Afghanishan limewasili Uganda asubuhi ya leo+++Kenya- Mzozo wa maneno kati ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto umechukua mkondo mpya baada ya Ruto kushikilia kuwa hatojiuzulu kwa vyovyote +++Marekani na Ulaya zaonya wanajeshi wa Eritrea kuingia Tigray.

https://p.dw.com/p/3zTA6