1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.05.2026 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S25 Mei 2026

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: WHO imethibitisha zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa kuwa vya Ebola nchini DR Congo / Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Senegal kumefungua njia kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Ousmane Sonko kugombea uongozi wa Bunge, hatua inayoongeza mvutano kati yake na Rais Bassirou Diomaye Faye

https://p.dw.com/p/5EHZk