1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.04.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Aprili 2020

Shirika la Afya Duniani limesema hakuna ushahidi kuwa waliopona COVID-19 hawawezi kuambukizwa tena. Uhispania leo imeshuhudia ongezeko la vifo vya wagonjwa wa virusi vya corona. Pande hasimu nchini Libya zimetakiwa kurejea kwenye meza ya mazungumzo

https://p.dw.com/p/3bOpR