Mwili wa Marehemu John Magufuli,Rais wa awamu ya Tano wa Tanzania umewasili mjini Chato mkoani Geita// Wanawake kadhaa katika wilaya ya Newala Mkoani Mtwara nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto za kudhulumiwa mali, kukosa haki na kushindwa kujisimamia pindi ndoa zinapovunjika// Nchini Ujerumani ongezeko la maambukizo ya virusi vya corona linasababisha kishindo katika nyanja mbalimbali.