25.02.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

25.02.2020 Matangazo ya Jioni

Salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hosni Mubarak/ Tanzania kuwasilisha ripoti ya haki za binaadamu, Umoja wa Mataifa/ Sudan Kusini- Shirika la Umoja wa mataifa la kuwahudumia watoto duniani (UNICEF) limewaomba wafadhili wa kihisani wachangie dollar million 4.5 mwaka huu 2020 kuwarejesha katika jamii watoto waliokuwa wameandikishwa jeshini/ Marekani kusaidi watoto wenye utapiamlo, Kenya

Sikiliza sauti 59:59