24.09.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 24.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York+++Kuondoka kwa Angela Merkel kama kansela wa Ujerumani kumezua hofu ya kutokea mvutano ndani ya Umoja wa Ulaya wakati umoja huo utakapopitia changamoto fulani lakini pia kuna matumaini ya mabadiliko.

Sikiliza sauti 51:59