Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York+++Kuondoka kwa Angela Merkel kama kansela wa Ujerumani kumezua hofu ya kutokea mvutano ndani ya Umoja wa Ulaya wakati umoja huo utakapopitia changamoto fulani lakini pia kuna matumaini ya mabadiliko.