1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.07.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Julai 2020

Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza siku saba za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti, kufuatia kifo cha aliekuwa rais wa awamu ya tatu wa taifa hilo Benjamini William Mkapa// Hisia kutoka Zanzibar kuhusu kifo cha Benjamin Mkapa// Wasifu wa marehemu Benjamin Mkapa// Rais Kenyatta na viongozi wa Kenya wamuomboleza Mkapa.

https://p.dw.com/p/3fsCF