1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Julai 2020

Tanzania- Serikali ya Tanzania yatoa ratiba ya mazishi ya Benjamin Mkapa. Mkapa alikuwa rais wa Tanzania kati ya mwaka 1995-2005. Amefariki akiwa na umri wa miaka 81// Corona- Trump aahirisha hafla ya Florida kufuatia ongezeko COVID-19// Mchumi maarufu nchini Sudan Kusini Peter Biar Ajak ametorokea Marekani na kusema maisha yake yamo hatarini.

https://p.dw.com/p/3fsrR